Wednesday, May 21 2025

Header Ads

Movie Trailer ya Salman Khan & Katrina Kaif - 'Tiger Zinda Hai ' Imetoka rasmi leo.

Leo Desemba 22, 2017 dunia imepokea movie mpya kutoka Bollywood India movie inayoitwa 'Tiger Zinda Hai' ya Salman Khan akimshirikisha mwanadada Katrina Kaif. Filamu hii imepata attention kubwa sana kabla ya kutoka.

Star Cast: Salman Khan, Katrina Kaif, Sajjad Delafrooz, Angad Bedi, Kumud Mishra, Girish Karnad, Paresh Rawal.
Director: Ali Abbas Zafar.

Tanzama kionjo cha movie hii hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

Leave a Comment

Powered by Blogger.