Tuesday, May 20 2025

Header Ads

Salman Khan, Shah Rukh Khan na Priyanka Chopra waongoza Orodha ya Mastaa 100 katika Jarida la Forbes India 2017.

Superstar Salman Khan kwa mara nyingine tena ametajwa kuwa namba moja katika Orodha ya Mastaa 100 katika Jarida la Forbes India kwa mwaka 2017.

Kinara mwingine kutoka Bollywood Shah Rukh Khan na nahodha wa mchezo wa Cricket India, Virat Kohli wametajwa kushika namba mbili.

Huku namba tatu ikikamatwa na mwanadada anayefanya vizuri ndani na nje ya India, Priyanka Chopra akitajwa kama mwanamke pekee aliyeingia top 10 katika orodha hiyo.

Orodha ya Forbes India 2017 kwa mastaa 100 huzingatia mapato ya mastaa wanayokuwa wakitengeneza kutokana na kazi zao kwa kipindi cha kuanzia October 1, 2016 hadi September 30, 2017.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

Leave a Comment

Powered by Blogger.