Thursday, April 17 2025

Header Ads

China kuzindua setilaiti mpya nne za kufuatilia hali ya hewa

China imepanga kuzindua setilaiti mpya nne za kufuatilia hali ya hewa kabla ya mwaka 2021.

Shirika la Sayansi na Teknolojia ya Anga za Juu la China (CASTC) limesema, China inajiandaa kutuma kwenye anga za juu setilaiti nyingine nne za Fengyuan-3 zinazochunguza hali ya hewa kati ya mwaka 2018 na 2021.

Setilaiti hizo zitaunda mtandao wa satelaiti zinazochunguza hali ya hewa kwenye anga za juu ili kuboresha usimamizi wa unyevunyevu kwenye hewa na hali ya joto, gesi safi, upepo, na mvua.

Satelaiti za Fengyuan ni mfululizo wa satelaiti zinazochunguza hali ya hewa zilizobuniwa na kutengenezwa nchini China.


PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

Leave a Comment

Powered by Blogger.