Saturday, May 3 2025

Header Ads

AFYA YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA BAADA YA KUFIKA HOSPITALI.


Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, ameiambia dunia kuwa afya ya Nelson Mandela inaendelea vizuri hapo jana baada ya kuwa Mandela kuhuzuria hospitali na kulala kule kwa usiku mzima. Jacob Zuma aliwashitua raia wa nchi hiyo baada ya kusema ‘Mr. Mandela needs medical attention “from time to time which is consistent with his age‘, he said in a statement. Lakini afya ya rais huyo wa zamani wa Afika ya Kusini Nelson Mandela iko vizuri na alirudishwa nyumbani hapo jana.

Leave a Comment

Powered by Blogger.