Header Ads

Breaking News
recent

SELENA GOMEZ NA CHRISTINA AGUILERA NI MIONGONI MWAWASANII WATAKAO TUMBUIZA KATIKA "BILLBOARD MUSIC AWARD 2013".

Selena Gomez na Christina Aguilera
Marikia wa miondoko ya pop - Selena Gomez, rapa kutoka Miami - Pitbull, Christina Aguilera na wasanii wengine tayari wamekwisha ingizwa katika orodha ya wasanii watakao panda jukwaani siku hiyo.

Tuzo hizo za Billboard za Muziki zimepangwa tayari kufanyika  May 19 live katika ukumbi wa MGM GRAND GARDEN Arena huko Las Vegas.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.