Muda mchche baada ya kukabidhiwa kwa mama yake mzazi, msanii Lulu
amesema anawashukuru sana watanzania wanaoendelea kuwa pamoja na yeye na
kusema kuwa anamtegemea sana Mwenyezi Mungu kwani yeye ndiye mtetezi
wake na kuwa yeye anajua Ukweli kuhusu suala linalomkabili.
Picha na Info Gramme
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA