Wednesday, April 30 2025

Header Ads

Fahamu sehemu mbili za binadamu zisizokuwa na mishipa ya damu

 Pengine unaweza kushangaa kidogo kuwa inawezekanaje kukawa na sehemu katika mwili wake ambayo haina mishipa ya damu, sasa shangaa hapa>>>

Konea ni sehemu iliyo wazi ya jicho inayofunika mboni na sehemu zingine za jicho.  

Cartilage na konea ndio aina pekee za tishu katika mwili wa binadamu ambazo hazina mishipa ya damu, kulingana na wanasayansi katika Taasisi ya Utafiti wa Macho ya Schepens ya Idara ya Harvard ya Ophthalmology.  

Jicho lako pia lina vipengele vingine vya ajabu ambavyo labda hukujua kuvihusu.

Leave a Comment

Powered by Blogger.