Mtoto wa Samwel Sitta azungumzia kifo cha baba yake. (AUDIO)
Leo asubuhi November 7 2016 watanzania
wameamka na habari za kusikitisha baada ya taarifa za kifo cha Spika
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Samwel Sitta.
Taarifa zinasema Mzee Sitta amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of
Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi uliopita.
Benjamin Sitta ni mtoto wa Marehemu Samwel Sitta hapa amezungumza kuhusu kifo cha baba yake Mzee Sitta……
Source: Millardayo.com