Hii imetokea karibu njia panda ya Slupca, magharibi mwa Poland, ambapo lori hilo lilikuwa imebeba tani za rojo ya chocolate. Hakuna aliyepoteza maisha, ila dereva amepata majeraha tu!! Vipi wakwetu unatamani ungekuwa shuhuda nini?