Fahamu Ukweli Kuhusu Tetesi za Facebook Kutoza Gharala ya Message Kwa Watumiaji.
Kuma kuwa na ujumbe ambao umesambaa sana kwa njia ya meseji na barua pepe ukidai kuwa "mtandao wa Facebook utafungwa na ukifunguliwa watu watatakiwa kulipia endapo mtu akitaka kutumia".
"Lakini ukidai kuwa kesho ndio haya yatatokea, lakini pia atasalilimika tu, mtu yule atakaye watumia marafiki zake angalau 9 au 10 au 18 ujumbe huo na account yake itapewa alama ya tiki" yani verified, kitu ambacho hadi upewe alama ya tiki kwa kawaida kunavigezo vingi sana unapaswa uwe umevikamilisha, ila hawa watu wanalaghai watu kuwa watapewa alama ya tiki!.
Lakini ukiisoma vizuri habari hiyo utagundua inamakosa mengi sana ya kukufanya ukang'amua jambo, kwanza ukisikiliza sauti ya video iliyodaiwa ni ya mmiliki utagundua sio ya kweli ni ya kuunga unga tu.
Na mwisho wa video hiyo angalia herufi zilizo wekewa # utagundua ni kampeni nyingine inayoenda kinyume na mtandao wa Facebook.
Hivyo kuwa makini sana na jumbe mbalimbali zinazotumwa kwako, la sivyo unaweza kutapeliwa na ukaingia katika matatizo.
Nimeperuzi kuhakikisha kama ule ujumbe ni kweli, lakini nimegundua si wakweli ni wahuni tu wanawatia watu wasi wasi, lakini ukiangalia katika maswali yaliyojibiwa hata miaka ya nyuma na Facebook yamedai si kweli, maana jumbe kama hizo zimeonekana hata miaka ya nyuma.
PAKUA BURE NA KUSIKILIZA VIPINDI VYETU VYA REDIO HAPA>>> DOWNLOAD MP3