Kwa mujibu wa muimbaji huyo kutoka Canada Justin Bieber amedai kuwa album hiyo ya "Believe" huenda ikawa kali sana kama ile ya Justi Timberlake "Futuresex/Love sound" kufuatia vionjo flani anavyotegemea kuvitumia huku akiwashirikisha wasanii wengi kama wakali wa kurap Drake na Kanye West.
Hata hivyo habari za mtaani kwao zimedai kuwa Star huyu mdogo hakujisikia kumshirikisha Kanye West kwasababu anahofia atamchafulia heshima yake kwa sababu yeye ni kijana mstaarabu na mpole.
Napia kwa upande wa "Drake" obvious nimsanii mwenzie kutoka Canada hiyo wamekuwa wakikutana mara kwa mara na kujadili mipango mizuri ya kufanya kazi kwa pamoja, kwa mfano single mpya ya Drake na Bieber "Trust Issues".So album hiyo ya Believe itaachiliwa mapema 2012.
Justin Bieber
Selena Gomez akiperform nchini Canada
Justin Bieber na girlfrend wake Selena Gomez wakati wakiwa katika mtoko wa shoping kiaina.
Cute!! Selena Gomez
Selena Gomez na Justin Bieber kwa nyuma flani hivi, hivi juzi kati wamekuwa wazazi wa mbwa wao mpya anayeitwa "Baylor" walio muadapt na kudai kuwa mbwa huyo alipelekwa katika kituo cha "D' Arcy's Animal Rescue Centre" akiwa na maisha magumu, lakini sasa ataishi maisha mazuri.Gomez anamiriki mbwa 6 a.k.a puppy's
|