"Ibra Da Hustler" toka Vatoloco Soldiers anakuja tena na brand new track inayokwenda kwa jina la "Love to you",ambapo ngoma hii amemshirikisha Banx katika chorus.
Mtu mzima Ibra yupo katika final arrangements za kumaster album yake alioipa jina la "Paso wena" neno la kizulu linalomaanisha "angalia".
Safari yangu ya muziki bado changa sana kwahivyo mafans wote wakae sambamba na mimi mana apa ni kazi tu, drop after drop, hit after hit, noizmekah.com ndo mahali pakupata ngoma yangu mpya ambayo banx amedunga hook na pia latest project ya ma' crew, the vatoloco soldiers, track ya "Situations" ambayo itakuwa katika album yetu ya ungalimi to queens" ambayo album cover ndio hiyo hapo juu..
Huyo ndo mtu mzima Ibra "Da Hasla" sijaongeza wala kupunguza, alichokisema ndo hicho. Lets check out what will come across soon.
KWA MARA YA KWANZA FRANK MEMORI ANAINGIA KWENYE GAME: MPOKEENI.
![]() |
"Frank Memori" msanii chipukizi toka pande za mbeya mwenye maskani yake pande za Rchuga kwa sasa, anakuja na ngoma yake ya kwanza aloipa jina "Imegundulika" na humu ndani ameimba na mwanadada "Narx", ngoma hii nimerecodi noizmekah studios arusha, mashabiki mnipokee!!
Simple like that, jamaa alimaliza kama hivo, ofcoz nimesikiliza ngoma yake nikali so mashabiki mpokeeni kwa mikono yote.