NEW AUDIO: NAVY KENZO - "I JUST WANNA LOVE YOU". MP3 (Download).
Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa
wimbo wao wa kwanza uitwao "I JUST WANNA LOVE YOU" kutoka kwenye album yao mpya iitwayo "NIROGE".
Navy
Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa
kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa wanakuletea
album nzima! Producer Nahree...Bofya hapa chini...