Header Ads

Breaking News
recent

Navy Kenzo washinda tuzo ya kundi bora katika tuzo za 'African Entertainment Awards, USA '

Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Navy Kenzo wametujuza haya>>>"We are the #Winners of 3rd Annual African Entertainment Awards, USA as #HOTTEST Group of the year. Thank you @AEA_USA
Pia Navy Kenzo wamepost picha hii wakiwa na msanii Alicios na kuandika hivi>>>"What Do yo Think if we have something with @AliciosTheluji...... #Africanpower #baddest #" wakiashiria huenda wakafanya wimbo pamoja>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
   

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.