Header Ads

Breaking News
recent

Jinsi ya kuingia katika fursa ya kushona viti vya magari (Nimeacha Radio Show - Mchongo 2)

Ni siku nyingine tena tumebarikiwa uzima na afya njema, karibu sana ufuatilie vipindi vyetu vya Nimeacha Radio Show, bado kijana tunakupatia mchongo wa kufanya katika maisha.

Mtangazaji wa kipindi cha NRS Stanley Lema amezungumza na mmoja kati ya watu waliojiajili kutoka Arusha, Maiko yeye anajishughulisha na ushonaji wa viti vya magari, msikilize hapa na chukua huu mchongo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.