PICHA: HARUSI YA 2FACE IDIBIA YAFANA HUKO DUBAI.
Msanii wa muziki Nigeria "2 Face Idibia akiwa ametulizana katika muonekano wa kiafrika siku ya ndoa yake ya kimila iliyofanyika huko Dubai huku ikihudhuliwa na mastaa kibao wa filamu na muziki nchini humo.
Annie Idibia (Mke wa 2 Face akiwa katika muonekano poa kabisa wa kiafrika siku ya harusi yake.
Muonekano huu wa msanii 2 Face Idibia ni dhahiri kabisa anaiwakirisha nchi yake ya Nigeria.
Annie Idibia (Mke wa 2 Face akiwa katika muonekano poa kabisa wa kiafrika siku ya harusi yake.
Muonekano huu wa msanii 2 Face Idibia ni dhahiri kabisa anaiwakirisha nchi yake ya Nigeria.
Hii ni familia ya 2 Face yani baba mwana na mama siku ya harusi yao.
Baadhi ya mastaa wa filamu waliohuduria harusi hiyo.
Picture Credit to Live Ofofo

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA