Header Ads

Breaking News
recent

DAVID BECKHAM AWASHANGAZA MASHABIKI NCHINI CHINA BAADA YA KUWAONYESHA TATTOO MPYA YENYE MAANDISHI YA KICHINA.

David Beckham akinyanyua shati kuonyesha tattoo mpya ya Kichina.
Aliyekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham, amewaacha midomo wazi wanafunzi wa chuo kikuu cha "Peking" nchini China wakati alipokitembelea na kuamua kunyanyua shati yake ambapo tattoo mpya iliyoandikwa kichina ilionekana.

Beckham mwenye umri wa miaka 37 yuko nchini China katika ziara ya siku tano kama akiwa ni balozi wa "Kids Football". Beckham mwenye watoto wanne na mkewe Victoria amechora tattoo mpya ya kichina yenye maana hii -- “Life and death are determined by fate, rank and riches decreed by Heaven.”

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.