Header Ads

Breaking News
recent

"CLARA" - STAA NA MUIGIZAJI WA TAMTILIA YA "MARA CLARA" ATIMIZA MIAKA 18 (HAPPY BIRTHDAY).

 
 Baada ya muigizaji maarufu "Clara" katika tamthilia inayokwenda kwa jina la "Mara Clara" inayorushwa na Star TV kutimiza umri wa miaka 18, sasa apatata dili la "weight loss" clinic moja iliyoko huko kwao "Philippines" kwaajili ya kampeni za kupunguza uzito.

Hii ni picha moja wapo ya behind the scene ya kampeni za kupunguza uzito.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.