MSANII WA HIP HOP ARUSHA - "GENTRIEZ" AWATAHADHARISHA MASHABIKI WAKE WA "USA RIVER ARUSHA" KUEPUKANA NA MAPROMOTER FAKE WANAOTUMIA JINA LAKE.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, msanii wa miondoko ya hip hop kutoka Arusha - Gentriez Mwakitabu ameonekana kukerwa na baadhi ya mapromoter aliowaita kuwa ni "fake".... soma hapo chini alichokiandika.
"Napenda
kuwafahamisha watu wangu wa usa river Arusha kuwa sinto kuwepo kwenye
show ya kesho ambayo inatangazwa kwenye PA (Public Announcement) pamoja
na posters.. Hao ni ma promoter fake".
"KUNA
MAPROMOTER FAKE WAKO USA RIVER WAMEANDAA SHOW YAO NA KUTANGAZA MIMI
NITAKUWEPO KWENYE HIYO SHOW NAPENDA KUWAFAHAMISHA WATU WANGU WA USA
RIVER KUWA SITOKUWEPO KWENYE HIYO SHOW NA HAO MAPROMOTER NI FAKE
TUNAFANYA UTARATIBU WA KUWATIA NGUVUNI.....TUNAOMBA UWAJULISHE NA
WENGINE ONE LOVE MA PEOPLE..."

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA