LORE - ni meneja mpya wa msaniiwa muziki wa kizazi kipya "Cyrill Kamikaze" meneja huyu ni tofauti na kama watu wengi walivyozoea kuwaona mameneja wa kiume, huyu ni kisura pia.
Lore na Cyrill Kamikaze
PICHA: HUYU NDIO MENEJA MPYA WA KIKE WA MSANII CYRILL.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, March 21, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA