PICHA YA BEYONCE AKIWA NA MTOTO WAKE 'BLUE IVY'.
Mwanadada Beyonce ni msanii mrembo, mwenye kipaji cha kuimba na kuandika mashairi yake, huku akiwa pia na kipaji cha kuigiza.
Beyonce alizaliwa September 04, 1981 Houston, Texas akiwa anaitwa Beyonce Knowles.Beyonce ni mke wa rapa mahili wa siku nyingi anayekwenda kwa jina la Jay - Z au Jigga, wote kwa pamoja wamejaaliwa kupata mtoto wa kike anayeitwa 'Blue Ivy' anayeonekana katika hiyo picha akiwa na mama yake.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA