MIXTAPE YA TRINA - BACK 2 BUSINESS YATOKA KAMA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE.
Mwanadada wa miondoko ya kurap; Trina amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuwapatia mashabiki wake mixtape mpya inayokwenda kwa jina la "Back 2 Business.

The Miami rap diva mwenye umri wa miaka 34 sasa, ameachia mixtape hiyo yenye nyimbo 20 ambapo ndani yake utawasikia wasanii kibao kama French Montana ambaye ndiye producer mkuu wa mixtape hiyo na wasanii/producers.... Slim Thug, Brianna Perry, Gunplay, French, and DJ Khaled, huku production ikifanywa na The Renegades, Basement Beatz, and Laze & Royal. Unwrap
Trina’s b-day gift below.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA