WACHEZA FILAMU WAKIKE WA BONGO MOVIE WALIOTEKA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
Huwezi zungumzia tasnia ya filamu Tanzania kwa upande wa waigizaji wa kike bila kuwataja mastaa hawa wanne, 1. Aunt Ezekiel, 2. Irene Uwoya, 3. Jackline Wolper na 4. Wema Sepetu.
Sasa hebu sema kati ya hawa kinadada, ni yupi unayevutiwa nae katika filamu zake? Weka maoni yako katika hicho kibox hapo chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA