New Bounce Track - (NIAMBIE) B-Man ft. KC & Narx.
![]() |
| B-MAN |
Katika ngoma hii amemshirikisha KC toka FBG & Narx ndani ya bounce hilo, support kwa kudownload HAPA ngoma shavu zaidi kwa wadau wote media na fans wa Bman,holla kupitia 0712555030 kwa mahojiano/bookings na Tshirts zangu mpya kibaooooo

Bman ndo msanii kizazi kipya ambaye style ya track zake ya pita mipaka . Yaani yuajumuisha bongo na genge kutoa style ambaye twaweza ita....BONGE . Mashairi anayotunga yana uzito na beat inasisimua. Mambo baaaaaard beenie niko na Imani xana.
ReplyDeleteBob Njagi,
NRB , KENYA.