MWANAUME AMBAKA MSICHANA WA UMRI WA MIAKA 11 KWA MASAA MATATU (3).
Kijana mmoja (8) mwenye asili ya Kinigeria anakabiliwa na kesi ya ubakaji baada ya kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 11siku ya Ijumaa, Novemba 23 saa 10:30 London Uingereza wakati mtoto huyo akitoka shuleni.
Polisi imeeleza kuwa kijana huyo aliyekuwa amejibanza maeneo ya Jubilee Park, alimtia mikononi msichana huyo mara wakati akirejea kutoka shuleni, na kumbaka kwa takribani masaa matatu 3.
Msichana huyo, ambaye alikuwa amevalia sare za shule yake alirudi nyumbani saa 2:00 usiku akiwa ameharibiwa maeneo yake ya siri na hivyoilibidi awahishwe hospitali ambapo alifanyiwa upasuaji katika majeraha aliyokuwa ameachiwa na mbakaji huyo.
Naye kamanda wa polisi Inspekta Simon Ellershaw amethibitisha kuwa, tukio hilo lilikuwa ni lakinyama na sio la kawaida kutokea kwa wanafunzi wakike.
Mbakaji ambaye na yeye anamiaka 18 siku chache atafikishwa mahakamani ili kujibu kesi hiyo ya ubakaji.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA