MWANAMKE TAJIRI KULIKO WANAWAKE WOTE NIGERIA.
Folorunsho Alakija ni mwanamke wa kiafrika tajiri sana kutoka nchini Nigeria, alianza kazi yake katika miaka ya 1970 kama katibu katika Benki ya "International Merchant of Nigeria", ambayo ilikuwa ni moja ya benki ya Afrika Magharibi ya taifa ya kwanza ya kwa uwekezaji nchini humo.
Katika miaka ya 1980, baada ya kusoma fashion design nchini Uingereza, yeye alianzisha Studio kubwa ya mitindo nchini Nigeria ambayo iliweza kukamata wateja kwa kiasi kikubwa.
Hata hivyo mwanamama huyu kufikia mwaka 1993 rais wa nchi hiyo wakati ule Ibrahim Babangida aliipatia tuzo kampuni yake ya Famfa Oil, tuzo ambayo ilimpatia pia leseni ambayo alienda kuwa OML 127, mmoja wa wamiliki wa vitalu vya mafuta nchini Nigeria.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA