Header Ads

Breaking News
recent

MIKAKATI YA KUWEKA MAMBO SAWA KWA WASANII WA KANDA YA KASKAZINI MWA TANZANIA "ARUSHA" YAANZA.

JCB na miliki wa blog hii Victor Machota, wakati wa kikao cha wasanii wa kaskazini walipokutana kupanga mikakati ya kuunda umoja wao. Story kibao kuhusu umoja huu utaupata hapa hapa baada ya kikao kukaa Jumapili ya wiki hii.
WASANII KIBAO WALIOJITOKEZA KATIKA KIKAO HICHO.
NAKAAYA SUMARI PIA ALIKUWEPO.
FIDO, BOUNAKO, SHAABENG NA WASANII WENGINE KIBAO.
WASANII
WASANII
FIDO NA BOUNAKO
VICTOR MACHOTA(kushoto) BOUNAKO NA MO PLUS

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.