"CASH CLAN" ARUSHA NEW COMMER ARTISTS IN THE MUSIC GAME.
Kutana na kundi chipukizi "Cash Clan" toka pande za Arachuga hapa ikiwa
ni single yao matata mahadhi ya club banger ama "bounce" kama wengi
wanavyoziita,mdundo ukiwa ni track ya "YoungCash" Kiongoz wa kundi la
Cash Clan akiwashirikisha "JYP" pamoja na "Mjukusalo" na ngoma wameipa
title "Fikra Zangu" ikiwa ni mara ya kwanza kutua pande za noizmekah.com kwa defxtro.Support yenu wadau ni muhimu katika safari yetu kwenye game DOWNLOAD HAPA na holla nasi kupitia 0655700947 kwa Interview/Bookings.Amani kwenu...

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA