Header Ads

Breaking News
recent

ROSE NDAUKA NDOA YAKE MWEZI NOVEMBA.

Asili Yetu © All rights reserved


 MUME mtarajiwa wa staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka, Malick Bandawe ameweka ‘plain’ kuwa licha ya kuwepo na utata wa hapa na pale, ndoa yake na mwigizaji huyo bado iko palepale.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni katika ofisi zao za Ndauka Entertainment zilizopo Kinondoni jijini, Dar, Malick, alisema ndoa hiyo itafungwa mwezi Novemba mwaka huu.
“Ndoa ipo palepale, kila kitu kitakuwa sawa Novemba mwaka huu. Familia zote mbili zimeshabariki ndoa hii kilichobaki ni maandalizi tu,” alisema Malick.
Na Global.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.