Asili Yetu © All rights reserved
Hii ni mara ya kwanza kwa mtoto wa mastaa wawili yani Jay Z na Beyonce kuonekana amebebwa hadharani wakati akitua katika mji wa New York kwapa Helikopta.
Blue Ivy mwenye miezi 7 alionekana amefichwa katika kifua cha baba yake huku akiwa amevalishwa kifaa cha kuzuia sauti masikioni.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA