Asili Yetu © All rights reserved
Asubuhi ya leo kumezagaa taarifa kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab wa Zanzibar, Bi. Kidude amefariki dunia. Radio ya Zenji FM ya visiwani humo nayo ilitangaza kifo chake. Lakini kutokana na vyanzo mbalimbali vya uhakika akiwemo mjukuu wake, Bi. Kidude bado yupo hai japokuwa yuko mahututi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA