Header Ads

Breaking News
recent

MATUKIO MBALI MBALI YA KIMUZIKI KUTOKA FNOUK RECORD ARUSHA.

Asili Yetu © All rights reserved

 Hapa ni Kijenge Juu katika programme ya michano inayofanyika kila jumapili pande hizo.Hapa ni Big na Daz Knowledge wakimkumbuka marehemu Vivian.

 Watundu, madogo wakali kutoka A Town wanaotesa na ngoma mpyaaaaaaaaaaaa ya "Chalii ya R".

 Gentriz Mwakitabu Mo Plus na wasanii kibao wakiwa Fnouk Records katika project ya michano (SAIFA) inayofanywa na FNOUK RECORDS ARUSHA ili kuuendeleza muziki wa A Town.

 Steff, ni jamaa wa WU-TANG kutoka Marekani, ambae yuko hapa nchini, soon ataachia ngoma moja na Producer Samtimber kutoka Fnouk Record.

 Ni ndani ya Kijenge juu katika michano ya SUA - WATENGWA inayofanyika kila j pili A town.


 FIDO, LAVOST (VATOLOKO) na Dogo Tundu ndani ya michano ya Mambo jambo Summer Jam A town.

 JCB (WATENGWA) na wasanii kibao wakiwa katika mstari wa michano ndani ya FNOUK RECODS.

YOUNG OMEGA, jamaa mwenyemichano mikali ya miondoko ya kijamica, akiwa na mwanadada.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.