Asili Yetu © All rights reserved
| GENTRIZ MWAKITABU (ARUSHA BOYZ). |
Leo nimepata nafasi ya kukutana na msanii wa hip hop, anaye make headline Arusha yani GENTRIZ MWAKITABU (Arusha Boyz) kutoka River Camp Soldier, akiwapande za FNOUK RECORDS ARUSHA.
Gentriz ana ngoma zake kibao, na project ya ke mpya aliyorecord na Gnako na msanii kutoka marekani "ARIS", track inakwenda kwa jina la "BAKI NA MIMI" ikiwa inazungumzia mapenzi. Usisahau
Asili Yetu blog imefanya nae mahojiano kuhusiana na mpango mzima, sikiliza hapo chini.
Usisahau kuisikiliza ngoma hii kwenye page ya BONGO MUSIC humu humu ASILI YETU blog.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA