Asili Yetu © All rights reserved
Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012,Gadner G. Habash akizungumza na waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge mchana huu wakati wa kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012.Washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania 2012.Wengine Pichani toka Kulia ni Mratibu Mwenza wa Shindano hilo,Juma Mabakila,Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA