Asili Yetu © All rights reserved
Movie ya 'SPARKLE' original ilichomoka miaka ya 50 ya malehemu 'Herlem' ikiwahusu wasichana watatu ndugu waliokuwa ni wanakwaya kanisani lakini wakajiengua na kuwapagawisha watu pande za club. Movie hii imekuwa classic tokea iachiwe miaka ya 1976 ikiwa iliandikwa na mwandishi mahiri kabisa 'Joel Schumacher' . Movie hii ya 'SPARKLE' imekuja na kivingine na ujumbe tofauti na ule wa zamani.Ndani ya weekend hii movie inayomilikiwa na kuchezwa na mshindi wa pop star wa Marekani Jordin Sparks itadondoka katika uwanja wa movi za dunia.
Hii ni picha kutoka katika filamu mpya ya 'SPARKLE'.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA