ODAMA - Ni muigizaji wa filamu mwenye kipaji pekee cha kuigiza kutoka Tanzania. Katika miaka ya usoni jina la Odama limekuwa halikauki katika midomo ya watanzania, kutokana na filamu anazoigiza kuwakosha wapenzi wa filamu za kibongo.
ASILI YETU TANZANIA imeamua kuweka picha za ODAMA kama msichana anayejituma katika kazi zake za filamu, na kuwavutia watanzania wengi.
Fuatilia filamu za ODAMA, zinavutia kama picha zote ulizoziona hapo juu.
Picha kwa hisani ya www.odama1.blogspot.com
Picha kwa hisani ya www.odama1.blogspot.com
aksante dada wewe n malaika
ReplyDeleteMvuuuuuto bi dada
ReplyDelete