Asili Yetu © All rights reserved
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi John Gilbert Bayo.
Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Arusha kiko mbioni kufanya uchaguzi wa viongozi mwezi septemba saba mwaka 2012.
Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Arusha kiko mbioni kufanya uchaguzi wa viongozi mwezi septemba saba mwaka 2012.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa kamati ya uchaguzi huo John Gilbert Bayo alisema fomu za kugombea nafasi mbali mbali za uongozi, zimekwisha toka. Msikilize hapo chini akieleza sifa na utaratibu mzima wa kuchukua fomu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA