Header Ads

Breaking News
recent

AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA KUPATA MTOTO MWEZI JANUARI.

Asili Yetu © All rights reserved

AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA.
 Ni miezi sita tu imekwishapita tokea mastaa hawa wawili WIZ na Amber Rose kutangaza kuwa ni wachumba.

Lakini bila kutegemea chanzo cha habari kimeeleza kuwa Rose ni mja mzito hivyo anategemea kujifungua mwezi january mwaka kesho.

Kuhusu mpango mzima wa ndoa, chanzo kimeeleza  kuwa Wiz na Amber wanategemea kufunga ndoa mwezi Octoba. Mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wakwanza kuzaliwa na kila mmoja wa wawili hawa.WIZ na AMBER wamefurahi kuanza maisha ya familia pamoja.

Tumeshuhudia ndoa za mastaa wengi duniani zikidumu kwa muda mfupi, wakati mwingine masaa tu, halafu kila mtu kimpango wake.

Ofcoz katika ustaa hakuna mtu anayetaka kuwa chini ya mwenzake, bali kila mtu ndani anataka ndiye aonekane kuwa juu zaidi ya mwenzake.

Kwa kawaida siri ya ndoa ni kujishusha pale unapohisi umekosea au pale unapogundua kosa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.