Baada ya msanii kinara wa bongo flava kukumbwa na misuko suko ya kiafya, kwa mara ya kwanza "Diamond Platinum" ameelekeza shangwe nchini Marekani katika mji wa Washton siku ya jumamosi, Septemba 1, 2012.
"DIAMOND PLATINUM" KUFANYA SHOW LIVE WASHINGTON MAREKANI JUMAMOSI HII.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, August 30, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA