Header Ads

Breaking News
recent

R - KELLY AMEACHIA KITABU CHAKE "SOULACOSTER: The Diary Of Me" KINACHOELEZEA KUNYANYASIKA KATIKA MAPENZI WAKATI AKIWA MDOGO.

All rights reserved to Asili Yetu.

Mfalme wa muziki wa R&B R-Kelly ameachia kitabu chake kipya kinachozungumzia jinsi alivyo nyanyasika kimapenzi wakati akiwa mdogo. Kitabu hicho kimemuonyesha msanii R- Kelly akiwa ametembelea na kukua katika nyumba moja yenye wanawake  pekee ambao wa waliishi maisha tofauti na maisha ya kawaida, wakati mwanamke ambaye ndio mkubwa wa familia hiyo akiwa hayupo.

Kelly anasema alikuwa akilazimishwa kuangalia na kuchukua picha za ngono wakti mmoja ya wanawake hao wakati wakijamiana.Ni mika 10 akifanyiwa vitendo hivyo, aliogopa na aliona aibu kumwambia mtu yoyote.
R-Kelly katika hiki kitabu alikuwa na rafiki yake wa kike aliyempenda sana, aliitwa 'LULU'.

1 comment:

  1. Nice blog, nimeipenda kwakweli, songa mbele usirudi nyuma,utafika.

    ReplyDelete

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.