All rights reserved to Asili Yetu.
Mshindi wa tuzo za Grammy 2012 Adele amejiweka wazi kwa mashabiki wake kuwa anashauku kubwa moyoni mwake kwani yeye na Simon wanategemea kupata mtoto wa kwanza pamoja.
Adele alifunguka zaidi kuwa "nilitaka mjue kwamba hili moja kwa moja kutoka kwangu, ni wazi kuwa tuko mapuzikoni tumetulia pamoja ila tafadhari naombeni muheshimu faragha yetu". Adele hakusema wako wapi kwa sasa.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza kwa Adele na mtoto wa pili kwa Simon Konecki (34) ambae ni mjasiriamali ambae tayari anamtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano kutoka kwa mke wake wa zamani 'Clary Fisher' ambae ni mwana mitindo.
Adele ameanza mahusiano na mpenzi wake mpya Koneck mwezi januari mwaka huu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA