Mfahamu msanii Alicios Theluji anayefanya vizuri katika muziki
Alicios Theluji alizaliwa mwaka 1987 Goma katika Jamuhuri ya watu wa Kongo, ni msanii wa muziki anayefanya kazi zake za muziki
Nairobi, Kenya.
Alicios anatumia lugha ya Kiswahili na Kilingala katika sanaa ya muziki, japokuwa pia ni mtumiaji mzuri wa lugha ya Kingereza na Kifaransa.
Amekwisha tamba na nyimbo zake kama vile "POSA YA BOLINGO", "MPITA NJIA" na nyinginezo nyingi.
Kwa sasa msanii Alicios ameachia video mpya ya wimbo wake wa "YA NINI" aliyomshirikisha msanii kutoka Kenya, Khalighraph.
Kuutizama wimbo huu, Bonyeza hapa>>> "Ya Nini".
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA