Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Masanja Mkandamizaji akifurahia kula Maembe Mwanza.

Mchekeshaji maarufu Tanzania nayesifika kwa utani pia, maarufu kama Masanja Mkandamizaji, leo kupitia ukurasa wake wa Twitter, amepost picha ikimuonesha akikandamiza maembe kwa kwenda mbele na kuandika hivi>>> "Rock City mambo yanakwenda sawa plus maembe".

Kuhusu mjengo ulioko nyuma yake hajasema chochote, ila kauli ya "Mambo yanakwenda sawa plus maembe" basi ni wazi huenda mpango huo ukahusika.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.