Header Ads

Breaking News
recent

Mfahamu Msanii Maua Sama wa leo.

Mau Sama ni msanii wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya yani Bongo Flava. Msanii maua amekuwa na uwezo mzuri katika muziki huo ambapo amekwisha ng'ara na nyimbo zake kama vile "Sijiwezi", "Sisikii", "Let Them Know" na nyinginezo, huku pia akipewa nafasi na wasanii wenzake kama vile Mwana FA, Stamina na Roma katika ngoma zao.

Sasa kupitia account yake ya Twitter, Maua ametupia Profile picture mpya, itizame hapo juu.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.