Video: Mr P – 'For My Head'
Baada ya kuachia ngoma yake ya ‘Cool It Down’ Peter Okoye (Mr P)
ameachia video ya ngoma yake nyingine iitwayo ‘For My Head’ video hiyo
imeongozwa na Unlimited L.A. Itizame hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA