Picha za harusi ya Serena Williams
Mcheza tensi maarufu kwa ubora duniani, Serena Williams amefunga ndoa na
mpenzi wake Alexis Ohanian huko Contemporary Arts Center, New Orleans
nchini Marekani.
Wawili hao ambao wamebahatika kupata mtoto mmoja walifunga pingu za maisha huku mrembo huyo akitinga magauni matatu tofauti katika sherehe hiyo.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA