Muigizaji Ruby Rose akanusha kupungua uzito kupita kiasi
Muigizaji Ruby Rose amekuwa akikutana na maoni ya mashabiki katika mitandao ya kijamii kuhusu afya ya mwili wake, kuwa amekuwa mwembamba kupita kiasi.
Sasa wiki hii Ruby amejitupa katika mtandao wa kijamii ili kujibu tuhuma za mashabiki kwa kuwa mwembamba.
Msanii huyu amekanusha stori za yeye kupoteza uzito mwingi na kudai kama ingekuwa kweli basi angekuwa tayari amelazwa hospitali.
Msanii huyu amewaonya wale wanaofuatilia suala lake la wembamba kuwa waachane na tabia hiyo, kwani yeye anajali afya yake na yuko vizuri kuliko wanavyodhani.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA