Header Ads

Breaking News
recent

Beyonce asherehekea miaka 20 ya kundi la Destiny Child

 Moja ya makundi ya muziki katika miondoko ya Pop yaliyotamba kipindi cha nyuma ni kundi la Destiny Child lililokuwa likundwa na wadada wanne.
Sasa mmoja ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi hilo la muziki Beyonce, 36, ameonekana kutupia picha sita ambazo hazijawahi kuonekana popote katika mtandao, zikiwaonesha wasanii halisi au wa mwanzo wa kundi hilo wakiwa studio, ikiwa ni kusheherekea miaka 20 ya kundi hilo.
Kundi la Destiny Child liliundwa na wasani Original wa mwanzo (Queen Bey, Kelly Rowland, LaTavia Roberson na LeToya Luckett)
NO, NO, NO, ndio ilikuwa single yao ya kwanza kufanya vizuri na kuwapatia umaarufu wasanii hao wa kundi la Denstiny Child
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.