Mwigizaji wa filamu na msanii wa muziki Tyrese achunguzwa baada ya kudaiwa kumpiga binti yake
Octoba 4,2017 stori zinatoka kwa Msanii na mkali wa 'The Fast and the Furious' Tyrese,
mwenye umri wa miaka 38, sasa anachunguzwa na Idara ya Watoto na Huduma
za Familia ya LA nchini Marekani, baada ya mke wake wa zamani Norma Gibson kudai kuwa
alimshushia kipigo binti yao Shayla mwenye umri wa miaka 10.
Norma, kwa mujibu wa TMZ, sasa anataka ulinzi kamili wa kisheria na kimwili, kwa sababu anaogopa Tyrese anaweza kukimbia na binti yake huko Dubai, ambako inasemekana ana biashara zake huko.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA