Header Ads

Breaking News
recent

Bado Tyga hawezi kuamini kama Kylie Jenner anaujauzito wa Stravis Scott

Ni mwezi Octoba 4, 2017 stori zinasimamishwa na mkali Tyga, 27, ambaye ni mpenzi wa zamani wa mrembo Kylie Jenner.

Sasa baada ya stori kuenea kuwa Kylie Jenner, 20, anaujauzito wa mpenzi wake wa sasa Travis Scott, 25, hii bado inazidi kumvuruga Tyga na bado haimuiingii akilini.
Kwakua bado hakuna ushahidi wa wazi labda katika picha unaoonesha kuwa Kylie Jenner ni mjamzito, basi hata Tyga haamini na ameonekana kupagawa na huenda Kylie akithibitika kuwa mjamzito, jamaa atakuwa katika halingumu zaidi.

Staa huyu bado hajaithibitishia dunia kuwa anaujauzito, japokuwa vyombo vingi vya habari vimeshaseme tayari anaujauzito wa miezi minne. 

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.